Mobi Groups
Download Free Apps & Games @ PHONEKY.com

TANZANIALOVE - Topics
Create Your Own App Store

* TANZANIALOVE > Topics


Subject: KWANINI
Replies: 3 Views: 947

mrmbarak 9.01.11 - 08:23pm
Mwanamke au mwanaume katika mapenzi hawi na mtu mmoja *

missanna 16.01.11 - 08:16am
Kwa sababu watu wengi wanapenda pesa na mapenzi ya mekosa uaminifu *

acushla 19.02.11 - 03:46pm
Mara nyingine inasababishwa na kukosa kujiamini kuwa kweli we ni mzuri wa kutosha na unastahili kupendwa na anaekupenda...hivyo anakosa kuamini kuwa uhusiano utadumu *

chrissp 1.05.11 - 09:56am
b coz unakuta mapenzi uliyokuwa unayapata mwanzo yamepungua,'kama unavyojua mapenzi yakwanza yalivyo kwahiyo m2 anaona,. *


* Reply
* TANZANIALOVE Forum


Search:
topics replies


* TANZANIALOVE

Create Your Own App Store

topTop
groupsGroups
mainProdigits

Create Your Own App Store