Mobi Groups
Download Free Apps & Games @ PHONEKY.com

TANZANIALOVE - Topics
Create Your Own App Store

* TANZANIALOVE > Topics


Subject: MAPENZI
Replies: 4 Views: 1129

missanna 9.02.11 - 03:16pm
Kwa nini mwanamke akimtamkia mwanaume nakupenda watu wanamchukulia vibaya *

mrmbarak 10.02.11 - 02:25pm
Hapana sio kwa wote na kwa mwanamke ana njia nyingi za kumpata mwanaume sio mpaka atamke *

doctlove 24.02.11 - 05:31pm
Kwa mimi mwanamke akinitamkia ananipenda nitafikilia kama ananifaa nitamkubali *

dabullet 2.03.11 - 10:51am
Upende wngu dem akinitamkia ctamuona lyk yeye ni kicheche&v2vingine ka hivyo. *

chrissp 1.05.11 - 09:44am
mwanamke akikutamkia anakupenda sio wote ambao wakisema nakupenda nikicheche or malaya,'bali ni hic a zilizo mfanya akp *


* Reply
* TANZANIALOVE Forum


Search:
topics replies


* TANZANIALOVE

Create Your Own App Store

topTop
groupsGroups
mainProdigits

Create Your Own App Store