Mobi Groups
Download Free Apps & Games @ PHONEKY.com

TANZANIALOVE - Topics
Create Your Own App Store

* TANZANIALOVE > Topics


Subject: JE KUMPENDA M2 LAZMA UMDANGANY
Replies: 6 Views: 642

dabullet 1.03.11 - 06:00pm
Maana 90%ni waongo ktk upande wa kutemavocal/wanawake wengi ndo wanaohitaji kuambiwa uongo? *

mrmbarak 1.03.11 - 06:18pm
Ni kweli lakini kwa mimi kuongopa siwezi wanawake wa siku hizi wanapenda kuongopewa *

dabullet 1.03.11 - 09:06pm
Lyv madem ze2 wanapenda xana uongo kuliko ukweli. *

doctlove 2.03.11 - 05:44am
Sikilizeni wanawake wa siku hizi bila ya kumuogopea humpati *

missanna 2.03.11 - 11:31am
Si kweli na kama ndio mimi nikijua unaniongopea kamwe sitakupenda *

dabullet 2.03.11 - 08:53pm
Maduzanga wanapenda kukataa wkt washadanganywa xana. *

mbaraka 21.03.11 - 11:30am
Ktk huu mchezo uwongo ndo mpango mzna coz ma manz ze2 ukwatel truth uwapat na ukiwapata kiutata sana *


* Reply
* TANZANIALOVE Forum


Search:
topics replies


* TANZANIALOVE

Create Your Own App Store

topTop
groupsGroups
mainProdigits

Create Your Own App Store